Audio: Florence Mackenzi - Mungu Anayeishi - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Florence Mackenzi – Mungu Anayeishi

Audio

Audio: Florence Mackenzi – Mungu Anayeishi

 

Florence Mackenzi - Mungu Anayeishi

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunautambulisha kwako wimbo mpya unaoitwa Mungu Anayeishi kutoka kwa mwimbaji anayefahamika kwa jina la Florence Mackenzi.

Mungu Anayeishi ni wimbo unaobeba jina la album yake mpya aliyoiachia hivi karibuni ikiwa katika mfumo wa Audio CD ikiwa na mkusanyiko wa nyimbo nane ambazo kwa hakika zina Nguvu ya Roho Mtakatifu.

“Mungu Anayeishi, Ni wimbo wa kumsifu Mungu kwa matendo yake Makuu anayowatendea wanadamu, na jinsi tunavyo yashuhudia matendo yake, siyo rahisi kuamini kama Sarah mke wa Ibrahim kuwa angepata mtoto uzeeni ebu mtukuze Mungu Leo.” – Florence Mackenzi

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utakubariki kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Florence Mackenzi kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 717 146 644 au +255 763 146 644
Facebook: Florence Mackenzi
Instagram: @mackenziflorence
Youtube: FLORENCE MACKENZI

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top