Video: Eunice Kemunto - A New Thing - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Eunice Kemunto – A New Thing

Video

Video: Eunice Kemunto – A New Thing

Eunice-Kemunto-A-New-Thing

Baada ya kuachia video ya wimbo uitwao Tuhurumie mwezi April kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili Eunice Kemunto ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la A New Thing.

2 Corinthians 5:17 Therefore, if any man be in Christ, he’s a new creation. The old is gone, the new has come. I declare through this song, that as we surrender the old habits, die to sin and allow Christ to live daily in us and through us, he will do a brand new thing in our lives and he will show us the extraordinary lives he created us for,  Please watch and share with everyone. Shalom! – A New Thing

Kwa Moyo Mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Eunice Kemunto kupitia:
Simu/WhatsApp: +1 7809 010 912
Facebook: Eunice Kemunto
Instagram: @kemunto_eunice
Youtube: Eunice Kemunto

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top