Video: Enodan - Spirit Move - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Enodan – Spirit Move

Video

Video: Enodan – Spirit Move

Kutoka nchini Nigeria kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tumeisogeza kwako video ya wimbo mpya uitwao Spirit Move kutoka kwa mwimbaji anayefahamika kwa jina la Enodan.

”Coming to understand the Supernatural nature of God, this made me know how much we need the HolySpirit in our lives. So when the HolySpirit moves in all we do, it enhances God’s Divinity in Humanity. That’s how the Song “Spirit Move” came about. To God be the Glory”. – Enodan

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa itakubariki, Amen.

Social Media Connection:
Instagram: @enodanmusic
Twitter: @enodanmusic
YouTube: Enodan

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top