Video: Dr Ipyana - Nashangazwa (Sijawahi Weza Bila Wewe) - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Dr Ipyana – Nashangazwa (Sijawahi Weza Bila Wewe)

Video

Video: Dr Ipyana – Nashangazwa (Sijawahi Weza Bila Wewe)

Dr Ipyana - Nashangazwa (Sijawahi Weza Bila Wewe)

Kutoka kwenye albamu iitwayo IBADA kwa mara nyingine tena katika mwaka 2019 mtumishi wa Mungu maarufu kama Dr Ipyana ameachia live video ya nne iitwayo Nashangazwa (Sijawahi Weza Bila Wewe) hii ikiwa ni moja kati ya nyimbo zinazopatikana kwenye albamu hiyo aliyoiachia septemba 2018.

“We have only one hope, the only place we can lean and rely on, the love of God which constantly chasing us no matter what. Dr Ipyana narrates this kindly of love melodically, he is amazed by the way God through Jesus Christ come down and became man that we may see and live life which reflect his divine nature.” – Dr. Ipyana

Albamu hii imerekodiwa nchini Tanzania na kufanyiwa maboresho(mixing na mastering) ndani ya studio ya Job Audios iliyopo Pretoria nchini South Africa.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo kwa hakika itakubariki na kukuinua kwa viwango vya juu sana, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Dr Ipyana kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 625 791 741
Facebook: Dr. Ipyana Kibona
Instagram: @dripyana
Youtube: Dr Ipyana

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top