Video | Derick Feat. Ambwene Mwasongwe - Kwako Salama | Download - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video | Derick Feat. Ambwene Mwasongwe – Kwako Salama | Download

Video

Video | Derick Feat. Ambwene Mwasongwe – Kwako Salama | Download

Derick Feat. Ambwene Mwasongwe - Kwako Salama

Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunaitambulisha kwako video ya wimbo mpya ya wimbo uitwao Kwako Salama kutoka kwa mwimbaji Derick Ndonge akiwa amemshirikisha mwimbaji mkongwe maarufu kama Ambwene Mwasongwe.

Video hii imeongozwa na director Travellah kutoka studio za Kwetu Studios, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Justin Rider.

“Hakuna sehemu salama hapa duniani unapoweza kukaa ukastarehe bila kutikiswa ama kusumbuliwa ni kweli kabisa Yesu ndiye Salama yetu, Mungu anasema ametufanya kuwa mboni ya jicho lake. Jiulize kama Mungu ni mkuu kuliko vyote ni nani wakumshinda hadi akaguse mboni ya jicho lake? mimi na wewe tu Salama maana tu mboni ya jicho la Mungu. Zaburi 17:8 Unilinde kama mboni ya jicho, Unifiche chini ya kivuli cha mbawa zako;” – Derick Ndonge

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Derick Ndonge kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 753 661 611
Facebook: Derick Ndonge
Instagram: @derickndonge_official
Youtube: Derick Ndonge

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top