Audio: Rachel Sammy - Utukufu - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Rachel Sammy – Utukufu

Audio

Audio: Rachel Sammy – Utukufu

Rachel Sammy Utukufu

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tumekusogezea wimbo mpya uitwao Utukufu kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Rachel Sammy.

“Utukufu ni wimbo wa sifa ambao nimeamua kumwimbia Mungu kurudisha upendo na shukrani zangu kwake kwa maana aliyoyatenda kwangu ni makuu sana hakika anayestahili kupokea sifa na utukufu ni Mungu.” – Rachel Sammy

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao kwa hakika utakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Rachel Sammy kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 756 498 685
Facebook: Rachel Sammy
Instagram: @rachelsammy
Youtube: Rachel Sammy

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top