Audio: Prince Eseka - Tuwapende - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Prince Eseka – Tuwapende

Audio

Audio: Prince Eseka – Tuwapende

Tuwapende Prince Eseka Rosebud Childrens Foundation

Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 leo tumekusogezea wimbo uitwao Tuwapende kutoka kwa aliyekuwa mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Prince Eseka ambaye kwasasa ni marehemu.

“Tuwapende” ni wimbo ambao umetungwa na kuimbwa na marehemu Prince Eseka.

Marehemu Prince aliamua kuimba na kutoa wimbo huu kama sehemu ya mchango wake kwa taasisi ya Rosebud Childrens Foundation kutumika katika programu ya kampeni maalumu ya watoto inayofahamika kama TUWAGUSE WATOTO.

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Faith Music Lab chini ya mikono ya prodyuza Kabano Pro.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza na hakika kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa taarifa zaidi wasiliana na uongozi wa taasisi ya Rosebud Children’s Foundation kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 744 284 121
Facebook: Rosebud Childrens Foundation
Instagram: @rosebudchildrensfoundationtz
YouTube:Rosebud Children Foundation

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top