Audio: Klein Mnibi Feat. Walter Chilambo - Mwana wa Daudi - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Klein Mnibi Feat. Walter Chilambo – Mwana wa Daudi

Audio

Audio: Klein Mnibi Feat. Walter Chilambo – Mwana wa Daudi

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza tunautambulisha kwako wimbo mpya unaokwenda kwa jina la Mwana wa Daudi kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Klein Mnibi akiwa amemshirikisha Walter Chilambo.

“Mwana wa Daudi ni wimbo uliobeba maombi kwenda mbele za Mungu kwa ajili ya yale tunayoyahitaji katika maisha yetu, familia zetu, uchumi wetu, ndoa zetu na mambo yote yanayohusu maisha yetu.” – Klein Mnibi

Ni imani yetu kuwa wimbo huu utakuwa ni wa baraka sana kwako kila utakapokuwa unausikiliza na hakika utainuliwa na kuguswa kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Klein Mnibi kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 714 807 444
Facebook: Klein Mnibi
Instagram: @kleinmnibi
Youtube: Klein Mnibi

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top