Audio: Ipyana Living - Haulinganishwi - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Ipyana Living – Haulinganishwi

Audio

Audio: Ipyana Living – Haulinganishwi

Haulinganishwi Ipyana living

Kutoka jijini Mbeya kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunamtambulisha kwako mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Ipyana Living.

“Haulinganishwi ni wimbo unaoelezea jinsi Mungu alivyotuokoa toka dhambini na kusahau makosa yetu na kutufanya tuwe huru. Yeye ni Mungu milele halinganishwi kwa maana yeye ni Alfa na Omega.” – Ipyana Living

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Delight chini ya mikono ya prodyuza Hezy.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa na kuguswa kwa namna ya pekee, Amen.

 

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Ipyana Living kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 745 879 917
Facebook: Ipyana Living
Instagram: @ipyanliving

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top