Audio: Hellen Sogia - Wastahili Mwanakondoo - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Hellen Sogia – Wastahili Mwanakondoo

Audio

Audio: Hellen Sogia – Wastahili Mwanakondoo

Hellen Sogia - Wastahili Mwanakondoo

Kutoka jijini Dar es saalam kwa mara nyingine tena tumeusogeza kwako wimbo mpya wa kuabudu uitwao Wastahili Mwanakondoo kutoka kwa mtumishi wa Mungu Hellen Sogia.

“Wastahili Mwanakondoo ni wimbo maalum wa siku ya Alhamisi takatifu na Ijumaa kuu, Huu ni wimbo unaotukumbusha mateso aliyopitia Yesu Kristo kwa ajili ya Dhambi zetu, Ikiwa ni sehemu ya kuleta mabadiliko katika Maisha yetu, Ili tuweze kusihi sawaswa na mapenzi yake Mungu, Kulingana na gharama aliyoitoa ya uhai wake kwa ajili ya Kutukomboa.” – Hellen Sogia

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio  za Sogia Production chini ya mikono ya prodyuza Johnson Luzzah.

Ni hakika kuwa wimbo huu utakubariki na kukugusa kwa namna ya pekee sana katika kukumbuka mateso ya Bwana wetu Yesu kristo ambaye alikufa kwa ajili ya dhambi zetu.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mtumishi Hellen Sogia kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 753 351 048, +255 716 711 867
Facebook: Hellen Sogia
Instagram: @hellensogia
Youtube: Hellen Sogia

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top