Audio: Hellen Sogia - Uliniokoa - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Hellen Sogia – Uliniokoa

Audio

Audio: Hellen Sogia – Uliniokoa

 

Kutoka jijini Dar es saalam kwa mara nyingine tena tumekusogezea wimbo maalumu wa Pasaka uitwao Uliniokoa kutoka kwa mtumishi wa Mungu Hellen Sogia.

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio  za Sogia Production chini ya mikono ya prodyuza Johnson Luzzah.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri ambao ni imani yetu kuwa utakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mtumishi Hellen Sogia kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 753 351 048, +255 716 711 867
Facebook: Hellen Sogia
Instagram: @hellensogia
Youtube: Hellen Sogia

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top