Audio: Godwin Praise - Aiseeee ( I Say) - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Godwin Praise – Aiseeee ( I Say)

Audio

Audio: Godwin Praise – Aiseeee ( I Say)

Godwin Praise - Aiseeee ( I Say)

Baada ya kimya cha muda wa takribani mwaka mmoja toka alipoachia wimbo wake Hallelujah kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 rapa Godwin Praise kutoka mjini Dodoma ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Aiseeee ( I Say), Muziki huu ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya ushirikiano wa studio za Gia Music na EYG Production.

“I SAY kama jina lake….tafsiri yake ni Nasema😊😊 So nimesema….ukisiliza vizuri ndani ya wimbo huu nimesemea vitu vingi….Nimesema habari kuhusu Yesu ni nani….Mimi ni nani……huduma yangu nini……maisha ndani ya Kristo na nje ya Kristo….” – alisema Godwin Praise

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika kuwa utakubariki kwa wakati wote utakaokuwa unasikiliza, Amen.

 

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Godwin Praise kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 678 392 954
Facebook: Godwin Praise
Instagram: @godwin_praise
Twitter: @godwin_praise

Advertisements
1 Comment

1 Comment

  1. Grayson

    April 15, 2019 at 11:15 am

    Nice ,keep it up brother

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top