Video: Godwill Babette - We Love Yahweh - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Godwill Babette – We Love Yahweh

Video

Video: Godwill Babette – We Love Yahweh

Kutoka jijini Nairobi Kenya kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 mwimbaji wa nyimbo za Sifa na Ibada maarufu kama Godwill Babette ameachia video ya wimbo wake mpya wa sifa uitwao We Love Yahweh, Video ikiwa imeongozwa na Director LYinke JR kutoka Film Lab Int.

Psams 86:9 All nations whom You have made Shall come and worship before You, O Lord, And shall glorify Your name. 10 For You are great, and do wondrous things; You alone are God.

Psalms 22:27  All the ends of the world Shall remember and turn to theLord, And all the families of the nations Shall worship before You.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa itakubariki na kukuinua kila wakati, Amen.

Social Media:
Facebook: Godwill Babette Wasidi
Instagram: @godwillbabette
YouTube: Godwill Babette Media

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top