Connect with us

Audio: Fanuel Sedekia – Jina la Yesu(cover by Yusuph Manamba)

Music

Audio: Fanuel Sedekia – Jina la Yesu(cover by Yusuph Manamba)

Yusuph Manamba Jina la Yesu

Mwimbaji na mtayaarishaji wa nyimbo za Injili Tanzania Yusuph Manamba ameachia wimbo wake mpya uitwao Jina la Yesu.

Jina la Yesu ni moja kati ya wimbo uliowahi kuimbwa na mtumishi wa Mungu Fanuel Sedekia ambaye kwasasa ameshatangulia mbele za haki.

Yusuph Manamba ni kijana aliyeokoka na kumpenda Yesu akiwa ni mwenye vipaji vikubwa katika tasnia ya mziki wa Injili akiwa amebarikiwa uwezo wa kuimba, kutunga nyimbo, kupiga vyombo vya muziki pia ni producer (yaani mtayaarishaji wa muziki).

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao kwa hakika utakubariki na kukuinua kila wakati, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Yusuph Manamba kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 625 980 644
Facebook: Yusuph Manamba
Instagram: @yusuphmanambaofficial
Youtube: Yusuph Manamba

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,507 other subscribers

To Top