Video: Erick Kisindja - Siwezi Lipa - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Erick Kisindja – Siwezi Lipa

Video

Video: Erick Kisindja – Siwezi Lipa

Erick Kisindja siwezi Lipa

Kutoka jijini Nairobi Kenya kwa mara nyingine tena tumekusogezea video ya wimbo mpya uitwao Siwezi Lipa kutoka kwa mwimbaji na mhubiri Erick Kisindja.

Video ya wimbo huu imeongozwa na True D Pictures, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Noel Waitara.

“Kwanza namshukuru Mungu Baba na Bwana wetu Yesu Kristo kwa kutuwezesha kukamilisha kazi yeke nina wakaribisha kwa moyo mkunjufu kuitizama video ya wimbo SIWEZI LIPA ukiwa ni wimbo wa kukiri ya kwamba hakuna mwanadamu yeyote awezae kulipa gharama na wema ambao Bwana Yesu Kristo alilipa ili mimi na wewe tuwe huru kutoka kwenye utumwa wa dhambi na kutuokoa, Jina la Bwana na libarikiwe, Ame.” – Siwezi Lipa

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Erick Kisindja kupitia:
Simu/WhatsApp: +254 706 234117
Facebook: ERICK Kisindja
Instagram: @henriquesdasilva
Youtube: Erick Kisindja

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top