Connect with us

Gospo Media

Video: DK Kwenye Beat & Bahati – Sorry

Video

Video: DK Kwenye Beat & Bahati – Sorry

Kutoka jijini Nairobi leo nimekusogezea video nzuri iitwayo Sorry kutoka kwa rapa wa nyimbo za Injili nchini Kenya maarufu kama DK Kwenye Beat.

Video hii imeongozwa na Trued Pictures, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za EMB Records chini ya mikono ya prodyuza Shallzbaro.

Ni hakika utabarikiwa kupitia video hii kila wakati utakapokuwa unasikiliza wimbo huu pia, Ameen!

Social Media Connection:
Facebook: Dk Kwenye Beat
Instagram: @dkkwenyebeat

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top