Audio: Deuces Peter - Neno - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Deuces Peter – Neno

Audio

Audio: Deuces Peter – Neno

Deuces Peter Neno

Kutoka jijini Mwanza kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 mwimbaji wa nyimbo za Injili Deuces Peter ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Neno ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Saleh kutoka studio za Tivol.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri ambao tunaamini kuwa utakubariki, Amen.

 

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Deuces Peter kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 757 947 616
Facebook: Deuces Peter
Instagram: @deucespeter

Advertisements
2 Comments

2 Comments

  1. peter

    April 17, 2019 at 8:42 pm

    nice song

  2. Lucio Trottrr

    April 21, 2019 at 1:03 am

    Nice one

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top