Audio: David Pneuma - Dependable Love - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: David Pneuma – Dependable Love

Audio

Audio: David Pneuma – Dependable Love

Dependable Love Davies Pneuma

Kutoka nchini Zambia kwa mara ya kwanza leo nimekusogezea wimbo uitwao Dependable Love kutoka kwa mwimbaji David Pneuma.

“God’s Love can lift a person from zero to a hero, victim to victor, grass to grace, trials to testimonies… can spot you from the rest to the best!… No situation is too late for God’s love, You can rise beyond any limitation; Only depend on Dependable Love.” – David Pneuma

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kupakua wimbo huu ambao ni hakika kuwa utabarikiwa, Amen.

 

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top