Connect with us

Gospo Media

Audio: Calvary Brothers – Mashup Acappela

Audio

Audio: Calvary Brothers – Mashup Acappela

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza tunalitambulisha kwako kundi la waimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Tanzania linalofahamika kwa jina la Calvary Brothers ambao wameachia wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la Mashup Acappela.

Mashup Acappela ni wimbo ulio na mkusanyiko wa nyimbo tatu tofauti ya kwanza inaitwa USIE LALA ikiwa imewahi kuimbwa na mwimbaji Ephraim Sekeleti, Wimbo wa pili unaitwa AMENIFANYIA AMANI uliowahi kuimbwa na mwimbaji Paul Clement na wimbo wa tatu unaitwa AMENIFUNIKA wimbo ambao uliwahi kuimbwa na mwimbaji Joseph Kiponda.

Tunaimani kuwa utabarikiwa na wimbo huu mzuri ambao kwa hakika kuwa utakugusa kwa namna ya kipekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Calvary Brothers kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 713 684 090
Facebook: Calvary Brothers
Instagram: @calvarybrotherstz
Youtube: calvary bros

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,130 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top