Video: Borne Kingz - Mdogo Mdogo - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Borne Kingz – Mdogo Mdogo

Video

Video: Borne Kingz – Mdogo Mdogo

Borne Kingz - Mdogo Mdogo

Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 kundi la waimbaji wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa HipHop maarufu kama Borne Kingz wamedondosha video ya wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la Mdogo Mdogo.

Borne kingz ni kundi linalowaunganisha vijana wanne ambao ni Ellyjoh, Lamasias, Elandre pamoja na Quality. Kundi hili liliundwa tangu mwaka 2011 likiwa na vijana watatu wenye nia njema ya kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji. Maana halisi au kirefu cha BORNE KINGZ ni “Bearing the Mark of the King” ikimaanisha “Wabeba Chapa ya Kifalme”.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema na hakika kuwa utabarikiwa #mdogomdogo Ameen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na uongozi wa kundi la Boarne Kingz kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 717 057 457
Facebook: Borne Kingz
Instagram: @bornekingz
Youtube: Borne Kingz

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top