Connect with us

Gospo Media

Audio: Ziyase – Fed Up

Audio

Audio: Ziyase – Fed Up

Ziyase - Fed Up

Kutoka nchini Zambia kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji mpya anayefahamika kwa jina la Ziyase na huu ni wimbo wake wa kwanza kuachia unaokwenda kwa jina la Fed Up.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top