Audio: Shad-B - Mbalii - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Shad-B – Mbalii

Audio

Audio: Shad-B – Mbalii

Shad B - Mbalii

Kutoka nchini Norway kwa mara nyingine tena tumekusogezea wimbo mpya uitwao Mbalii kutoka kwa mwimbaji na mtayaarishaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Shad B.

“Mbalii ni wimbo wa shukrani kwa Mungu kwa yale mazuri ambayo amenitendea katika maisha yangu naamini kupitia wimbo huu kuna watu watabarikiwa na kuinuliwa tena upya na Mungu ataendelea kuonekana katika maisha yao kila siku, Amen” – Shad B

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri ambayo ni hakika utakubariki na kukuinua kwa namna ya pekee, Amen.

 

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Shad B kupitia:
Simu/WhatsApp: +47 462 69 248

Instagram: @waba_shadra
Youtube: Official shad-B

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top