Audio: Anna Mapessa - Sababu - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Anna Mapessa – Sababu

Audio

Audio: Anna Mapessa – Sababu

Kutoka jijini Dar es salaam leo tunautambulisha kwako wimbo mpya uitwao Sababu kutoka kwa mwimbaji Anna Mapessa.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika kuwa utakubariki kwa namna ya kipekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Anna Mapessa kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 658 489 575
Facebook: Anna Mapessa
Instagram: @annamapessa
Youtube: Anna Mapessa

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top