Connect with us

Video: Andrew Robinson & Flora Kachema – Ananipenda

Video

Video: Andrew Robinson & Flora Kachema – Ananipenda

Kutoka Tanzania kwa mara nyingine tena tunaitambulisha kwako video mpya inayokwenda kwa jina la Ananipenda kutoka kwa mwimbaji Andrew Robinson akiwa na mwanadada Flora Kachema.

Video hii imeongozwa na director John Maulid kutoka JM Production, Muziki ukiwa umetayarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Modercai.

“Hello Family!! Wimbo Uliokuwa Ukisubiriwa Umeshatoka Nakuomba Nisaidie Kushare Huduma hii kwa Wengine na Mungu atakubariki, Ahsante Sana! Usisahau Ku-subscribe ,Ku-like ,Ku-comment na Mungu atakubariki Sana Ahsante!” – Andrew Robinson

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Andrew Robinson kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 765 377 611
Facebook: Andrew Robinson
Instagram: @andrewrobinson
YouTube: Andrew Robinson

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,507 other subscribers

To Top