Audio: Abbey Mickey - Karibu Nawe - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Abbey Mickey – Karibu Nawe

Audio

Audio: Abbey Mickey – Karibu Nawe

Kutoka jijini Nairobi Kenya kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tumekusogezea wimbo mpya unaokwenda kwa jina la Karibu Nawe kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Abbey Mickey, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Planet Media Inc.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Ameen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Abbey Mickey kupitia:
Simu/WhatsApp: +254 727 810616
Facebook: Abbey Mickey
Instagram: @abbeymickeymusiq
Youtube: abbey mickey

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top