Video: Laurette Chala - Inuliwe - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Laurette Chala – Inuliwe

Video

Video: Laurette Chala – Inuliwe

Laurette Chala Inuliwe

Kutoka nchi ya Kidemokrasia ya Kongo mwimbaji wa nyimbo za Injili maarufu kama Laurette Chala ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Inuliwe.

Video hii imeongozwa na director Drino Age, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Boule.

Inuliwe ni wimbo wa Ibada uliojaa unyenyekevu na sifa kwa Bwana wetu Yesu Kristo anayestahili kuinuliwa kwa maana ukuu wake umezidi vitu vyote duniani na Mbinguni, Yeye anastahili sifa na kuinuliwa milele na milele.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki na kukugusa kwa namna ya kipekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Laurette Chala kupitia:
Simu/WhatsApp: +61 404 791 751
Facebook: Laurette Chala
Instagram: @laurettechala
Twitter: @laurettechala
Youtube: Laurette Chala

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top