Connect with us

Gospo Media

Audio: Wana wa Kifalme – Umetukuka

Audio

Audio: Wana wa Kifalme – Umetukuka

Kutoka mjini Singida kwa mara ya kwanza leo tumekusogezea wimbo mpya uitwao Umetukuka kutoka kwa kundi la waimbaji wa nyimbo za Injili linalofahamika kama Wana wa Kifalme, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Keruzi.

“Umetukuka ni wimbo wimbo ni kwa ajili ya watu wa Mungu, Ni wimbo wa kuabudu, kumtukuza Mungu tukisema hakuna kama yeye, UMETUKUKA hakuna wakulinganishwa na yeye.” – alisema mmoja wa kundi hilo Isaya

Bado tuna kazi nyingi ambazo tunarajia kuziachia kama kundi lakini pia tuna nyimbo za mwimbaji mmoja mmoja mmoja ambazo tunatarajia pia kuziachia pia kama Mungu akitupa Kibali, Hivyo tunaomba watu wa Mungu wanaopenda kufuatilia muziki wa Injili waendelee kutupa sapoti kwa hali na mali ili Injili hii iendelee kusonga mbele zaidi na zaidi. – aliongeza

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika kuwa utakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na uongozi wa kundi la Wana wa Ufalme kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 766 625 616/+255 659 776 919
Instagram: @wanawakifalme_official
Youtube: Wana Wa Kifalme

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,130 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top