Connect with us

Gospo Media

Audio: Rogate Kalengo – Brand New

Audio

Audio: Rogate Kalengo – Brand New

Moja kati ya waimbaji wanaoendelea kufanya vizuri katika huduma ya muziki wa Injili Tanzania hatutaacha kumuweka kwenye listi mwimbaji Rogate Kalengo ambaye hivi karibuni ameachia wimbo wake mpya kwa mwaka 2019 unaokwenda kwa jina la Brand New.

Huu wimbo unatukumbusha kutokuwa fake, yaani kufanya mema kwa watu ili wafurahi na kuona tu wenye haki lakini wakati huo huo sirini ni mtenda maovu mzuri ambaye Mungu anachukizwa nawe. Muombe Mungu akufanye upya uwe Brand New.

“Mungu wetu anasema “Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama ungekuwa baridi au moto. Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu.” UFUNUO 3:15 -16.

Unapousikiliza huu wimbo ufanye uwe wako na omba maombi yaliyo katika maneno ya huu wimbo kwa Yesu akufanye uwe mtu Brand New yaani mpya. ”sitaki kuwa fake (fake) nifanye niwe brand (brand new)” – alisema Rogate

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Rogate Kalengo kupitia
Simu/WhatsApp: +255 752 254 801 au +255 769 103 087
Facebook: Rogate Kalengo
Instagram: @rogatekalengo_official
YouTube: Rogatekalengotv official

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,130 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top