Connect with us

Gospo Media

Audio: Psalm Ekwo – The Name Jesus

Audio

Audio: Psalm Ekwo – The Name Jesus

Kutoka nchini Nigeria leo tumekusogezea wimbo uitwao The Name Jesus kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Psalm Ekwo na huu ni wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la The Name Jesus.

“Ameketi juu ya mbingu na kupewa jina lililoinuliwa juu ya majina mengine yote… kwa kutaja jina hilo kila goti litapigwa, kila ulimi utakiri kuwa jina la Yesu ni jina kuu kupita majina yote. #thenamejesus” – Psalm Ekwo

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu wa sifa ambao ni hakika kuwa utakubariki, Amen.

 

Social Media Connection:
Instagram: @psalmekwo
Twitter: @psalmekwo

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,130 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top