Connect with us

Gospo Media

Audio: Neema Ng’asha – Ni Wako

Audio

Audio: Neema Ng’asha – Ni Wako

Ni Wako Neema Ng'asha

Kutoka jijini Mwanza kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 mwimbaji anayeendelea kufanya vizuri nchini Tanzania Neema Ng’asha ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Ni Wako.

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Apex Music chini ya mikono ya prodyuza Benny William.

“The words of the song are so powerful. a perfect reflection of Gods Greatness. this is a powerful gift to mankind and one of a kind. We give thanks, to God be the Glory.” – Neema

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri ambao kwa hakika utakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Neema Ng’asha kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 673 527 249
Facebook: Neema Ng’asha
Instagram: @neema.ngasha
Youtube: Neema Ng’asha.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top