Video: Eunice Kemunto - Like Jesus - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Eunice Kemunto – Like Jesus

Video

Video: Eunice Kemunto – Like Jesus

Akiwa anaendelea kufanya vizuri na video ya wimbo uitwao Mipango Yako mwimbaji wa nyimbo za Injili Eunice Kemunto ameachia tena na video yake mpya inayokwenda kwa jina la Like Jesus, Huu ukiwa ni moja kati ya wimbo utakaopatikana kwenye albamu yake iitwayo Mipango yako inayotarajiwa kuachiwa hivi karibuni.

“I desire that my conversation, my conduct, and my character be more like Jesus everyday.Be blessed as you watch, like comment and share with your friends and family.” – Eunice

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Eunice Kemunto kupitia:
Simu/WhatsApp: +1 7809 010 912
Facebook: Eunice Kemunto
Instagram: @kemunto_eunice
Youtube: Eunice Kemunto

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top