Connect with us

Gospo Media

Audio: Dona Jr – Uthamani Remix

Audio

Audio: Dona Jr – Uthamani Remix

Rapa anayeendelea kufanya vizuri katika huduma ya muziki wa Injili Tanzania huyu si mwingine bali ni Dona Jr ambaye leo hii ametusogezea wimbo wake uitwao Uthamani hii ikiwa ni remix(marudio) ya wimbo aliowahi kuachia mwaka 2017 ikiwa ni moja kati ya kazi ambazo zilimtambulisha vizuri sana.

Katika remix hii wameshirikishwa waimbaji kadhaa wanaofanya Gospel HipHop Tanzania akiwemo Black Samaritan, Neymick, Novic BCvm, Lenjima, John Lihawa, SirMbezi & T-More huku chorus ikiwa imependezeshwa na mwanadada Rebecca Lupia.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika kuwa utabarikiwa kila wakati utakapokuwa unausikiliza, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Dona JR kupitia:-
Simu/WhatsApp: +255 746 083 735, +255 713 02 44 55
Facebook: Donanciano Van Joseph
Instagram: @255dona
Youtube: Dona Jr.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top