Connect with us

Video: Tumaini Msowoya – Hakuna Matata

Video

Video: Tumaini Msowoya – Hakuna Matata

Anaitwa Tumaini Msowoya akitokea jijini Dar es salaam ambaye kwasasa ameachia video yake mpya iitwayo Hakuna Matata.

Video hii imeongozwa na director John kutoka studio za Jmic Pro, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za JB Production chini ya mikono ya prodyuza Baraka.

“Hii ni video inayoweza kukupatia nguvu ya kusonga mbele kwa matumaini kuwa hata iwaje, Hakuna Matata utavuka salama kwa sababu ukiwa na Mungu hakuna gumu.” – alisema Tumaini

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii na hakika utabarikiwa kila siku, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Tumaini Msowoya kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 767 000 009
Facebook: Tamaini Msowoya
Instagram: @tumainimsowoya
Youtube: Tumaini Msowoya

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na jukwaa la gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,056 other subscribers

Akawaambia, Nendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.Marko 16:15 – 16

To Top