Connect with us

Video: Kibonge Wa Yesu – Sitoki

Video

Video: Kibonge Wa Yesu – Sitoki

Baada ya kufanya vizuri  mwaka 2018 mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Juma Kyando maarufu kama Kibonge wa Yesu kwa mara nyingine tena ameachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la Sitoki.

Video hii imeongozwa na director NAMENCE kutoka Wende studio, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Mefo chini ya mikono ya prodyuza Kingson.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema na hakika utabarikiwa kila wakati, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Kibonge wa Yesu kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 654 448 206
Facebook: Juma Kyando(Kibonge wa Yesu)
Instagram: @kibongewaYesu_official
Youtube: Kibonge wa Yesu official

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na jukwaa la gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,056 other subscribers

Akawaambia, Nendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.Marko 16:15 – 16

To Top