Video: Niwaeli Mkhortia - Jina la Yesu - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Niwaeli Mkhortia – Jina la Yesu

Video

Video: Niwaeli Mkhortia – Jina la Yesu

“Jina la Yesu” ni wimbo sifa unaoelezea thamani na uwezo wa jina la Bwana wetu Yesu Kristo jinsi linavyotawala na kuyalinda maisha yetu, Jina lake ni kuu sana hata kuliko majina yote, Wakolosai 3:17 Na, kila mfanyacho kwa neno au tendo, fanyeni vyote kwa jina la Bwana Yesu na kumshukuru Mungu Baba kwa njia yake.” – Niwaeli

Kutoka ndani ya lebo ya Genecic leo kwa mara nyingine tena tumeisogeza kwako video mpya ya wimbo uitwao Jina la Yesu kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili akiwakilisha pande za Arusha anayefahamika kwa jina la Niwaeli Mkhortia, Video hii imeongozwa na director Baraka Danison akishirikiana na Elisifa Cephas, Muziki ukiwa umeteyaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za  Genecic Studio zilizopo jijini Arusha.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Niwaeli Mkhortia kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 752 528 231
Facebook: Niwaeli Mkhortia

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top