Connect with us

Video: Joachim Chany – Ushuhuda

Video

Video: Joachim Chany – Ushuhuda

Ushuhuda - Joachim Chany

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza lebo ya EMG Records inamtambulisha kwako mwimbaji mpya kutoka katika huduma ya muziki wa Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Joachim Chany na hii ni video yake ya kwanza kuachia katika mwaka 2019 inayokwenda kwa jina la Ushuhuda.

Video hii imeongozwa na director Dee Moolah, Muziki ukiwa umetayarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Oggy Keyz ndani ya studio za EMG Records.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakuabriki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Joachim Chany kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 657 082 013
Facebook: Joachim Chany
Instagram: @joachimchany
Youtube: joachim chany

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na jukwaa la gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,056 other subscribers

Akawaambia, Nendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.Marko 16:15 – 16

To Top