Audio: Daniel Blessed - Masii Alleluia - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Daniel Blessed – Masii Alleluia

Audio

Audio: Daniel Blessed – Masii Alleluia

Masia Alleluia Daniel Blessed

Kutoka nchini Marekani leo tumekusogezea wimbo mpya uitwao Masii Alleluia kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Daniel Blessed.

Wimbo huu unatoka kwenye albamu yake inayokwenda kwa jina la Halleluya ukilifu jina la Bwana wetu Yesu Kristo ambaye alizaliwa, Kuteswa na kufa msalabani kwa ajili ya dhambi zetu.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri ambao ni hakika kuwa utakubarikiwa na usiache kusubscribe ili uendelee kupokea update ya kazi zake kila siku, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Daniel Blessed kupitia:
Simu/WhatsApp: +1 (509) 218-4737
Facebook: Daniel Blessed
Instagram: @danielblessed
Twitter: @danielblessed
Youtube: Daniel Blessed/ GOSPEL BOY

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top