Connect with us

Gospo Media

Video: Beda Andrew – Mbali Sana

Video

Video: Beda Andrew – Mbali Sana

Kutoka katika lebo ya Tripod Music kwa mara nyingine tena tumekusogezea video ya wimbo mpya uitwao Mbali Sana kutoka kwa mwimbaji anayefahamika kama Beda Andrew.

Video hii imeongozwa na director Sylvester na muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Juma Mvungi.

Mbali Sana ni wimbo wa kukiri na shukrani kwa Bwana wetu Yesu Kristo ambaye kwa hakika ametutoa mbali sana kule ambapo tulikuwa ni watumwa wa shetani, kule mbali ambapo tulikuwa tunaseka na sasa ametuheshimisha na kutufanya kuwa wapya.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki na kukugusa kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Beda Andrew kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 714 140 989
Facebook: Beda Andrew
Instagram: @bedaandrew
Youtube: Beda Andrew

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,130 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top