Connect with us

Gospo Media

Video | Audio: Vince Joyn – Akuita

Audio

Video | Audio: Vince Joyn – Akuita

Kutoka jijini Des Moines nchini Marekani kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji anayefahamika kwa jina la Vince Joyn na hii ni video ya wimbo wake mpya iitwayo Akuita.

Video hii imeongozwa na director Ab Nabil, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Skylife Records chini ya mikono ya prodyuza Ptody kutoka nchini Kenya.

“Yeremia 29:11 Mungu anayo mipango mizuri juu ya maisha yetu, Hivyo basi hakuna kitu kizuri kama kuitwa nae, Akuita ni wimbo wa kutukumbusha na kutuweka karibu na Mungu. Ukiitikia sauti ya Mungu na kumpa nafsi yako, unakua na maisha mapya, Unakua na amani tosha, Magonjwa, mateso na vifungo vyote vinatengenishwa mbali na wewe kwa maana mkono wake ni wenye nguvu kuliko vitu vyote.” – alisema Vince

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itagusa na kukubariki kwa namna ya kipekee, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

[easy_media_download url=”https://gospomedia.com/wp-content/uploads/2018/12/Vince-Joyn-Akuita.mp3″ text=”Download Audio” force_dl=”1″]

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Vince Joyn kupitia:
Simu/WhatsApp: +1 (515) 779-4410
Facebook: Vince Joyn
Instagram: @vincejoyn
Twitter: @vincejoyn
Youtube: Vince Joyn

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,130 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top