Connect with us

Audio: Mathias Walichupa – Kaa Nami

Audio

Audio: Mathias Walichupa – Kaa Nami

Baada ya kufanya vizuri kupitia video ya wimbo uitwao Mungu ni Pendo, mwimbaji anayefanya vizuri katika huduma ya muziki wa Injili nchini Tanzania Mathias Walichupa kwa mara nyingine katika mwaka 2018 ameachia wimbo wake mpya uitwao “Kaa Nami”.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu, Na ni imani yetu kuwa utakubariki sana, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Mathias Walichupa kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 757 255 858
Facebook: Mathias Walichupa
Instagram: @mathiawalichupa
Youtube: Mathias Walichupa

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,785 other subscribers

To Top