Connect with us

Gospo Media

Video: Bahati – Ndani Ya!

Video

Video: Bahati – Ndani Ya!

Kutoka jijini Nairobi nchini Kenya kwa mara nyingine tumekusogezea video ya wimbo mpya uitwao Ndani Ya! kutoka kwa mwimbaji maarufu Bahati.

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za EMB Records chini ya mikono ya prodyuza ShallzBaro.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii, na hakika utabarikiwa, Ameen.

Social Media
Facebook: Bahati Kenya
Instagram: @bahatikenya
Twitter: @bahatikenya
Youtube: Bahati Kenya

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top