Connect with us

Audio: Victor Makaranga – Mwema

Audio

Audio: Victor Makaranga – Mwema

 

Kutoka jijini Mwanza kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji mpya katika huduma ya muziki wa Injili nchini Tanzania anayefahamika kwa jina la Victor Makaranga na huu ni wimbo wake wa kwanza uitwao Mwema, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Gilbert Noah.

“Wema wa Mungu ni Mkuu sana, Bila wema wake sidhani kama tungekua hapa au kufika tulipo sasa, Asante Yesu kwa wema wako kwetu sisi wanadamu, Wema wa Mungu wadumu milele.” – alisema Victor

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa kwa namna ya kipekee sana, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Victor Makaranga kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 764 778 498
Facebook: Victor Gospel
Instagram: @victorgospel
Youtube: VICTOR MAKARANGA

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,785 other subscribers

To Top