Connect with us

Video: Miriam Lukindo Mauki – Put the Light On

Music

Video: Miriam Lukindo Mauki – Put the Light On

Baada ya kimya cha takribani mwaka mmoja toka alipoachia video ya wimbo wake uitwao Hakuna wa Kubadili mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Tanzania maarufu kama Miriam Lukindo Mauki ameibuka tena na video ya wimbo wake mpya uitwao Put the Light On, Video ikiwa imengozwa na director Einxer.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo kwa hakika itakubariki kwa viwango vingine, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Miriam lukindo Mauki kupitia
Simu/WhatsApp: +255 715 252 523
Facebook: Miriam Lukindo Mauki,
Instagram: @miriamlukindowamauki
YouTube: MiriamLukindo

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,669 other subscribers

To Top