Audio: Ibinye Mordi – I Give It To You - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Ibinye Mordi – I Give It To You

Audio

Audio: Ibinye Mordi – I Give It To You

Kutoka nchini Nigeria leo tumekusogezea wimbo mzuri wa Ibada uitwao I Give It To You kutoka kwa mwimbaji anayeendelea kufanya vizuri katika huduma ya muziki nchini humo akifahamika kwa jina la Ibinye Mordi, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza M-CHORDS.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa kwa namna ya kipekee sana, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Social Media:
Facebook: Ibinye Mordi
Instagram: @ibinyemordi
Twitter: @ibinyemordi

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top