Video | Audio: Angel Benard - I SURRENDER - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video | Audio: Angel Benard – I SURRENDER

Audio

Video | Audio: Angel Benard – I SURRENDER

 

Mshindi wa Tuzo ya Mwimbaji bora wa kike Afrika Mashariki 2018 Angel Benard ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao I Surrender, Video ikiwa imeongozwa na director Benachi kutoka studio za Lieutenant Films Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Again go Sevil.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii ambayo ni hakika utabarikiwa, Ameen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi, mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Angel Bernad kupitia
Simu/WhatsApp: +255 652 887 050 au +255 759 444 488
Facebook: Angel Benard
Twitter: @angelbenard
Instagram: @angelbenardofficial
YouTube: Angel Benard

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top