Connect with us

Gospo Media

Audio: Shadrack Robert – Upendo Wako

Audio

Audio: Shadrack Robert – Upendo Wako

Baada ya kufanya vizuri mwezi April kupitia video ya wimbo wake uitwao Siyabonga Jesu mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Arusha kwa mara nyingine tena ameachia wimbo wake mpya uitwao Upendo Wako.

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Grandmaster Records chini ya mikono ya prodyuza Imma Touch akishirikiana na John B.

“Habari za leo? Mungu akubariki sana, Ni wakati mwingine wa Furaha sana, ambao Ningependa kumshukuru Mungu kwa Upendo wake juu yangu na juu yako pia, Mungu ametupendelea na kutupa PUMZI yake ya uzima, (Asante Mungu kwa #upendowako ). Huuni wimbo wangu mpya l am glad to share this blessings, Good news with you.” – Shadrack Robert.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika kuwa utakubariki na kukuinua katika viwango vya juu sana, Amen.

 

Kwa mawasiliano wasiliana na Shadrack Robert kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 767 897 260
Facebook: Shadrack Robert
Instagram: @shadrackrobert
YouTube: Shadrack Robert

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top