Audio: Oliva Ngailo - Ni Kwa Neema Ya Mungu - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Oliva Ngailo – Ni Kwa Neema Ya Mungu

Audio

Audio: Oliva Ngailo – Ni Kwa Neema Ya Mungu

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Oliva Ngailo na huu ni wimbo wake wa kwanza uitwao Ni Kwa Neema Ya Mungu, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Sky Revolution chini ya mikono ya prodyuza Orecy.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa, Amen.

 

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Oliva Ngailo kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 752 746 800
Facebook: Oliva Ngailo
Instagram: @olivangailo

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top