Connect with us

Gospo Media

Video: Kevin Ayeeh – Mambo Yanabadilika

Audio

Video: Kevin Ayeeh – Mambo Yanabadilika

Baada ya kufanya vizuri kupitia video ya wimbo wake wa Ibada uitwao “Jina la Yesu” Kwa mara nyingine tena Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya Kevin Ayeeh ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao “Mambo Yanabadilika”.

Video hii imeongozwa na director Bakari Ousman kutoka studio za Crosslife Movement, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Sounds Of Eli zilizopo nchini Kenya.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa kila wakati, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Kevin Ayeeh kupitia:
Simu/WhatsApp: +254 724 557484
Facebook: Kevin Ayeeh Instagram: @kevinayeeh
Youtube: Kevin Ayeeh

 

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,148 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top