Video: Joel Lwaga Feat. Chris Shalom - Umejua Kunifurahisha - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Joel Lwaga Feat. Chris Shalom – Umejua Kunifurahisha

Audio

Video: Joel Lwaga Feat. Chris Shalom – Umejua Kunifurahisha

Baada ya kufanya vizuri mwezi Juni kupitia video ya wimbo ya wimbo wake uitwao Yote Mema, Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini Tanzania Joel Lwaga kwa mara nyingine tena ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Umejua Kunifurahisha akiwa amemshirikisha mwimbaji maarufu kutoka nchini Nigeria anayefahamika kwa jina la Chris Shalom.

Video hii imeongozwa na director Steve Hunter, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Fresters Records

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema na hakika utabarikiwa na kuinuliwa kila wakati utakapokuwa unasikiliza wimbo huu, #umejuakunifurahisha

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Joel Lwaga kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 716 747 597
Facebook: Joel Lwaga
Instagram: @joellwaga_official
Youtube: JoelLwaga

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top