Connect with us

Gospomedia

Audio: Geofrey Kamwela – We Glorify You

Music

Audio: Geofrey Kamwela – We Glorify You

Baada ya kimya cha muda wa takribani mwaka mmoja mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Geofrey Kamwela kutoka mjini Morogoro ameachia wimbo wake wa sifa kwa mwaka 2018 uitwao We Glorify You.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu wa sifa na hakika utabarikiwa!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Geofrey Kamwela kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 753 877 265
Facebook: Geofrey Kamwela
Instagram: @geofreykamwela
Youtube: Geofrey Kamwela

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,537 other subscribers

To Top